Azam Yapita, Yanga Bado Kueleweka Vizuri | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

4/24/16

Azam Yapita, Yanga Bado Kueleweka Vizuri

YANGA NA AZAMAMINI NYAUNGO

Sheria namba tano inazungumzia mwamuzi (Refaree) kuwa  ndiye kiongozi uwanjani kama jambo lolote likitokea yeye ndio anaamua kuwa afanyeje na ukibishana nae sheria hii inasema upewe adhabu na mwamuzi vinginevyo labda atumie hekima za kibinadamu.

ILIKUAJE?
Yanga wamekutana na Coastal Union mpira umeisha Yanga kashinda 2-1 moja limepatikana katika dakika za nyongeza udhaifu wa mwamuzi ulionekana dhahiri. Alishindwa kuumiliki mchezo kwa 100% maamuzi yake yanaonekana kutojiamini, kimataifa Mike Dean kutoka EPL alipewa adhabu ya kutochezesha mechi 10 baada ya kuharibu kati ya Arsenal na Chelsea.

MPIRA UMEISHAJE?
Sintofahamu imetawala mashabiki wa Coast Union hawajakubaliana na matokeo walianza kurusha mawe na mpira kusimama maamuzi hayaja tolewa ila mpira umeisha kihivyo.

AZAM WAMEPITA
Nusu fainali nyingine Azam na Mwandui imeisha na Azam ambao ni waandaji wa timu hiyo wamepita nusu fainali bada ya kuilaza Mwadui kwa mikwaju ya penati 3 kwa 5.

google+

linkedin