4/23/16

Bomoa Bomoa Sasa ni Zamu ya Mwanza

 
Watu wenye nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi barabara jijini hapa, wametakiwa kujiandaa kuzibomoa ili kupisha upanuzi wake.
Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) Mkoa wa Mwanza, Leonard Kadashi amesema leo kwamba wapo katika maandalizi ya kuendesha operesheni ya kubomoa majengo yote yaliyo ndani ya hifadhi ya barabara.
Alisema ubomoaji huo utaendeshwa kupisha upanuzi wa barabara za jiji hilo unaotarajiwa kuanza mwezi Julai na kuwataka wananchi kuwa tayari kuondoka kabla ya Septemba, mwaka huu.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm