4/26/16

Heart Marathon yafana Dar es Salaam


Mwenyekiti waKamati ya maandalizi ya Heart Marathon Dkt. Chakao Khalfan akizungumza na waandishi wa Habarai mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo leo jijini Dar es Salaam. Mbio hizo zilikuwa na 21Km, 10Km, 5Km, Baiskeli, Baiskeli walemavu na mita 700 kwa ajili ya watoto.

Wanariadha washiriki wa Heart Marathon wakichuana katika mbio za urefu wa kilomita 21 leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Alex Nkenyenge akizungumza na wadau wa riadha wakati wa ufungaji wa mbio za Heart Half Marathon zilizofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Kongamano la Afya Tanzania na Mratibu wa mbio hizo Dkt. Omary Chillo.
Na: Frank Shija
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts