4/27/16

Hizi Hapa Kesi 17 za Kutolewa Maamuzi Mei Mosi na TFF

tff

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kinatarajiwa kufanyika Jumapili, Mei Mosi 2016 Jijini Dar es salaam.

Kamati hiyo ya Nidhamu itapitia mashauri mbalimbali yaliyowasilishwa na kuazimia kusikiliza kesi hizo  katika kikao hicho:

(i)  John Bocco – Azam FC

(ii) Shomari Kapombe – Azam FC

(iii) Aishi Manula – Azam FC

(iv) Amissi Tambwe – Yanga SC

(v) Donald Ngoma  – Yanga SC

(vi) Paulo Jinga – JKT Rwamkoma FC

(vii) Kipre Tchetche – Azam FC

(viii) Abel Katunda – Transit Camp

(ix) Zephlyn Laurian – JKT Rwamkoma FC

(x) Idrisa Mohamed – JKT Rwamkoma

(xi) DR. Mganaga Kitambi (Daktari) – Coastal Union

(xii)  Herry Chibakasa – Friends Rangers

(xiii) Ismail Nkulo – Polisi Dodoma

(xiv) Said Juma – Polisi Dodoma

(xv)  Idd Selaman – Polisi Dodoma

(xvi) Edward Amos – Polisi Dodoma

(xvii) Stewart Hall (Kocha)– Azam FC

Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm