4/27/16

Hizi Hapa Nchi Zinazokuwa Sana Kiuchumi...Tanzania Ikiwemo

Ripoti ya World Economic Outlook ‘WEO’ ambayo inatoa makadirio ya maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya kimataifa, ripoti hiyo hutolewa April na September/October kila mwaka ambapo hutumia database kupata taarifa za akaunti za taifa, mfumuko wa bei, viwango vya ukosefu wa ajira, bei za bidhaa n.k.
Katika ripoti yake ya April 2016 imeitaja nchi ya Myanmar kuwa ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa kiuchumi kwa haraka zaidi kwa pato linalokadiriwa kukua kwa 8.6% kwa mwaka.
Ivory Coast imekuwa nchi ya pili na makadirio ya ukuaji wa pato la Taifa la 8.5% mwaka huu. Nchi zingine zilizotabiriwa kurudi takwimu ya juu ya ukuaji ni pamoja na India, Laos na Tanzania.
economic
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm