4/26/16

Kichaa cha mbwa huu watu 1,600 kila mwaka nchini

 
Watu 1,600 hasa watoto hufa nchini kila mwaka kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Hayo yalielezwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Mary Mashingo.
Dk Mashingo alisema vifo hivyo hutokana na wagonjwa hao hasa watoto kukosa chanjo kwa wakati.
“Tuna vituo saba pekee hapa nchini vinavyotoa huduma hizo,”alisema Dk Mashingo.
Alitaja mikoa ambayo vito hivyo vipo kuwa ni Dar es Salaam, Tabora, Mwanza na Mikoa ya Kusini.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts