4/24/16

Madaha: Nikikosa Faragha Siku 3 tu Naugua
STAA wa muziki Bongo fleva na Bongo Movies, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa anaugua.


Baby Joseph Madaha

Akibonga na paparazi wetu kuhusu maisha yake ya kimapenzi, Madaha alisema kuwa kila mtu kuna kitu anakipenda hivyo yeye ugonjwa wake ni huo wa kukutana faragha na baby wake na kupeana furaha.

“Kusema ukweli miongoni mwa vitu ambavyo vinanifanya nikose amani ni kutokutana na mpenzi wangu faragha kwa zaidi ya siku tatu, huwezi kuamini naugua kabisa,” alisema msanii huyo.

Chanzo: GPL
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts