Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

4/26/16

Majitaka Yatirirka Maeneo ya Watu, Wakazi wa Ubungo Hosteli hatariniBaadhi ya wananchi waishio na kufanya biashara eneo la Ubungo External Mtaa wa Malile wamelalamikia chemba ya maji taka inayodaiwa kutumiwa na Hostel ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam iliyopo maeneo hayo ambayo imekuwa ikitirisha maji machafu yaliyoambatana na kinyesi ambayo yamekuwa yakihatarisha afya za wakazi hao.

Kwa mujibu wa wakazi hao na wafanyabishara,k ero hiyo ambayo ipo kwa miaka mingi imekuwa ikitolewa taarifa kwa wahusika lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, hali ambayo wamedai imekuwa ikiwaumiza kutokana na harufu kali ya kinyesi kutoka kwenye maji hayo.

Wakizungumza na Channel Ten Wakazi hao wamesema licha ya afya zao kuwa hatarini kutokana na magonjwa ya milipuko, vilevile hali hiyo imesababisha wateja kutofika katika eneo hilo kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu. Pia Wakazi hao wameulalamikia uongozi wa Hostel ya Chuo hicho kwa kuelekeza bomba la maji taka yaliyoambatana na kinyesi katika bonde la mto msimbazi ambalo pia limekuwa likitumiwa na wafanyabishara wengi wa mbogamboga