4/25/16

Malori Yaliyoibwa Kenya Yakamatwa TanzaniaJeshi la Polisi nchini limekamata malori matatu yaliyoibwa katika mji wa Embakasi nchini Kenya na kuingizwa mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kuyahalalisha na kuyauza upya.

Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa, alisema jana Polisi wanamshikilia mfanyabiashara mmoja wa Kitunda Jijini Dar Es Salaam, aliyekamata na moja ya magari hayo.
 
Chanzo: Mwananchi
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts