4/26/16

Mambo Yaanza kunoga Daraja la Nyerere, Kigamboni


Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuzindua Daraja la Kigamboni na kulipa Jina la mwasisi wa Taifa mwalimu Julius K Nyerere. Hatimaye limekuwa kivutio kwa wanandoa kupigia picha, awali Rais Magufuli siku ya uzinduzi alisema kuna watu watakuja kupiga picha za harusi, ndicho kilichotokea leo 
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts