4/30/16

PICHA 11: Jengo la ghorofa sita limeporomoka Nairobi na kusababisha vifo


Nairobi Nchini Kenya mvua zinazoendelea kunyesha wiki hii zimesababisha vifo ambapo mpaka sasa imeripotiwa watu 15 kufariki na kati ya hao 7 wamefariki baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka usiku wa April 29 2016 eneo la Huruma na zaidi ya watu 120 wameokolewa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
nairobi 1.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm