4/28/16

RIYAMA: Utotoni nilikuwa napenda kupigana sanaAkizungumza na gazeti la Mwanaspoti Alhamisi hii, Riyama alisema wakati huo watu mtaani kwao walikuwa wanamuogopa.

“Utotoni nilipenda sana ugomvi, yaani mtu asinichokoze ninaye huyo yaani nilikuwa napenda kupigana na kuingilia ugomvi hata kama haunihusu kiasi mtaani walikuwa wananiogopa, kitu ambacho nikikumbuka huwa najicheka mwenyewe,” anasema

Katika hatua nyingine muigizaji huyo amesema hakuwahi kufikiria kama angekuja kuwa muigizaji, kwani alikuwa anapenda sana kuimba taarab.

“Sio siri sikuwahi kuota kama ningekuwa kuwa mwigizaji, nilitamani sana kuwa muimbaji wa taarabu, muziki ninaoupenda mpaka leo,” anasema Riyama.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm