4/22/16

Stamina:Wasanii wasiogope kutoa Albamu.Rapa Bonaventure Kabobo ‘Stamina’ amesema kuwa ili msanii aweze kupata mashabiki na kutambulika vyema kwa wadau wa sanaa nchini ni kufyatua album na si kutegemea kutambulisha nyimbo moja moja.

Msanii huyo alisema kuwa baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa waoga kuandaa albamu wakihofia kupata hasara na kuongeza kwamba tabia hiyo haitaweza kuwa jenga au kupata mafanikio.

“Msanii” anatakiwa kuwa na album indigo aonekane ni mkubwa,vinginevyo mina litakuwa jii kwa muda tu,ninashukuru nimeshauza nakala 850 za album yang ya Mt.Uluguru,”alisema Stamina.

Stamina amble ni mwenyeji wa Mkoa wa Morogoro alisema kuwa ameamua kutoa ushauri huo baada ya kuona wasanii wengi wakiendelea na tabia ya kutambulisha ‘Singo’ tu na kuingiza sokoni album zilizokamilika.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts