4/27/16

Tumbatu kisiwa kisicho na gari

 
Kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar licha ya kuwa na wakazi takriban elfu 20 mpaka leo bado hakuna usafiri wa gari.
Ikiwa ni moja ya visiwa vikubwa vya Zanzibar hakina umaarufu kama Unguja na Pemba kama vile biashara ya Utalii, kutokuwepo kwa chombo chochote cha moto kunawaathiri wakaazi wake.

bbc
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts