4/25/16

VIDEO: Sababu za Dili la Bomba la Mafuta kutoka Uganda kupewa Tanzania na si Kenya ziko hapa


Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo April 24 2016 amewasili Tanzania akitokea Uganda alipokwenda kwenye mkutano wa majadiliano ya bomba hilo la mafuta lipite wapi kati ya Tanzania au Kenya. Akizungumza baada ya kuwasili Prof. Muhongo ameeleza sababu zilizofanya Bandari ya Tanga kuchaguliwa ambapo ushindani ulikuwa ni wa ubora wa bandari na ubora wa njia ambako bomba litapita, unaweza kutazama video hii hapa chini…
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts