4/22/16

Waislam 10,000 Nchini Pakistan Wahamia Ukristoni Kwa Siku Moja+ Video.


ELM-696x462
Mkutano mkuu uliofanyika katika mji wa Pakistan wa Mchungaji Anwar Fazal uliwagusa mamilioni ya wa Pakistan kwakupokea Injili ya Yesu Kristo mara ya kwanza. Mchungaji wa Ministry kwajina la Eternal Life Ministries (ELM) kutoka Pakistan alihandaa Mkutano mkuu kwajina la Crusade kila siku ya jumatano na watu zaidi ya elfu moja wanahuzuria kila wakati mkutano uho katika mji wa Lahore. Umesemekana kuwa mkutano mkuu wa uponuyaji kwa wakati uhu. Injili aitokwisha ila itaendelea mpaka mwisho wa dunia.

Katika mkutano mmoja ambao uliotokea huko Pakistan, waislamu wapatao elfu kumo walimkubali Yesu kwa siku hiyo moja. Na pia kwenye siku ihi kumefanyika miujiza ya aina nyingi, watu zaidi ya 150.000 kati ya 200,000 wa dini ya kislamu walimpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao. Kwa mara nyingi Yesu Kristo anaonekana kuwatokea waislamu katika mahala mengi ambapo wanaishi na kujionyesha kwao kama Yeye ndie Mfalme wa Wafalme na kwamba atarudi kuja kukichukua kiti chake cha Enzi.

Idadi la Wakristo wanaohuzuria mkutano uhu pia ni kubwa sana. Wakristo katika nchi ya Pakistan wanashambuliwa na kuuwawa kutoka kwa serekali na wakuu wengine kwajili ya dini yao. Ila awa wandugu zetu wanaendelea kuishi katika imani lao. Video ihi hapa chini kwenye mkutano ulioandaliwa na Ministrie la ELM, linaonyesha jinsi ghani watu walivyo na upendo na Yesu Kristo. Tunaombea nchi ya Pakistan ili watambue kwamba Yesu kristo ndie njia pekee ya kwenda Mbinguni.

Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts