4/27/16

Wasanii waaswa kutoingia mikataba kiholela


Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso akizungumza na wadau wa filamu katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu kati ya mtengenezaji filamu nchini Bw. Carlos Johns Johns kutoka Happy Time Production na mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga.

Mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga (wa pili kulia) akizungumza katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu kati yake na  mtengenezaji filamu nchini Bw. Carlos Johns kutoka Happy Time Production kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso.

Mtengenezaji filamu kutoka Happy Time Production Bw. Carlos Johns Johns akizungumza katika kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu kati yake na mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso, kulia ni Afisa Utamaduni Bodi ya Filamu Tanzania Bw. Simon Peter.

Maafisa Utamaduni Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na wadau wa filamu wakimsikiliza mtunzi wa filamu ya Nyota ya Jaha Bw. Emmanuel Mayunga (kulia) akijieleza wakati wa kikao cha usuluhishi wa madai ya kupewa nakala halisi ya filamu kati yake na  mtengenezaji filamu Bw. Carlos Johns kutoka Happy Time Production kilichofanyika chini ya Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisso.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm