4/26/16

Waziri atoa wiki mbili kukamilisha barabara ya Morroco-Mwenge

Mafundi wa kampuni ya Estim Construction wakiendelea na Ujenzi wa barabara ya Mwenge –Morocco KM 4.3 ambayo ni sehemu ya Barabara ya Morocco –Mwenge-Tegeta.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng.Patric Mfugaleakimuonyesha Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano kazi ya ujenzi wa mifereji pembezoni mwa Barabara ya Morocco-Mwenge inavyoendelea.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng.Patric Mfugale kuhusu kukamilika kwa upanuzi wa barabara ya Morocco-Mwenge
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm