Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

5/14/16

Aunt Ezekiel, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao ‘Cookie’ kuandaa filamu ya pamoja

Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel na mpenzi wake Mose Iyobo pamoja na mtoto wao ‘Cookie’, wapo kwenye mchakato wa kuandaa filamu ya fimilia.


Mose Iyobo ambaye pia ni dancer wa Diamond, ameiambia Bongo5 kuwa tayari wapo kwenye mchakato wa kauandaa kazi hiyo.

“Kuna kazi za filamu zinakuja, mtaziona tu, tena familia yetu yote mtaiyona,” alisema Mose. “Unajua Cookie yupo kwenye mikono ya Mama muigizaji na Baba dancer, kwa hiyo ingawa mwenyewe anaweza kuchagua kwa kwenda lakini sisi ndiyo taa yake, kwa hiyo mambo yakikaa sawa mtamuona, Cookie, Baba yake na Mama yake kwenye filamu moja,” alisema Mose. Pia Mose alisema mtoto wao ‘Cookie’ ataonyeshwa kwa mara ya kwanza hadharani tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja.
 
Chanzo: Bongo 5