5/23/16

Barcelona Yashinda kombe la MfalmeKlabu ya FC Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey, usiku wa May 22 2016 walifanikiwa kutwaa taji la pili baada ya kufanikiwa kuifunga Sevilla katika mchezo wa fainali ya Kombe hilo.
article-3603830-348203A000000578-270_636x382
Wachezaji Jordi Abba na Neymar ndio walio iwezesha Barcelona kutwaa taji hilo katika Fainali iliyopigwa Jijini Madrid kwenye Uwanja wa Atletico Madrid wa Estadio Vicente Calderon.
3481F78800000578-3603830-image-a-7_1463956744106
Hii ni Fainali ya 37 ya kombe la kwa Barcelona huku Barca wakishinda mara ya 28 sasa.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm