5/15/16

Diamond avunja nyumba yao, kaandika maneno haya

 
Mwanamuziki Diamond Platnumz, amevunja nyumba yao aliyozaliwa na kukulia na kujenga nyumba nyingine ya kisasa . Ameandika maneno haya katika AC yake ya Facebook

Hapa ndipo palikuwa nyumbani kwetu Tandale nilipozaliwa kulelewa na kujifunzia Muziki hadi leo kufikia hapa.... napaHeshimu, Napapenda, napathamini na Daima hata niende wapi lazima nirudi maana nikiwa hapa nasikia faraja na amani ya moyo... Mwanzo palikuwa hivi #HomeSweetHome #Before
Muonekano wa sasa 
 diamondplatnumz#AFTER Na huu ndio Muonekano Mpya wa Nyumbani kwetu TANDALE sasa..... Hongera sana mama zangu Mama Dangote, Bi mwajey na Bi shani kwa usimamizi mzuri hadi kufikia hapa #HomeSweetHome #Tandale #StillUnderConstructionThough


Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm