5/9/16

Gadner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..

jide6.jpg
Siku ya harusi ya Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee na Mtangazaji wa Clouds FM Gardner G Habash.

Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hv"

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

VIDEO YENYEWE HII HAPA CHINI:
 

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla ameingilia kati Ugomvi wa Judith Daines Wambura Mbibo(Lady Jay Dee) na aliyekuwa Mume wake Gadner .G. Habash.

Naibu Waziri ametoa rai kwa uongozi wa Clouds Media kumuomba radhi msanii Lady Jay Dee, kufuatia kauli iliyotolewa na mtangazaji wake Gadner G. Habash kuongea mbele ya kadamnasi akimtusi mke wake wa zamani Lady Jay Dee.

"Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu kwa Jide Jaydee bali ametukana Wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi

Natoa rai kwa uongozi wa Cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa Jide Jaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao" Kigwangallah amesema.


-JF
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts