Habari njema kwa watumiaji wa Twitter | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

5/17/16

Habari njema kwa watumiaji wa Twitter


Twitter inatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika namna inavyohesababu herufi za tweets na hivyo kuwapa watumiaji uhuru wa kuandika ujumbe mrefu zaidi.
twitter-mobile-iphone-app-ss-1920
Kampuni hiyo hivi karibuni itaacha kuhesabu picha na link kama sehemu ya herufi 140 za kikomo cha ujumbe unaoandikwa. Mabadiliko hayo yanaweza kuanza kuonekana katika wiki mbili zijazo.
Kwa sasa Links zinachukua herufi 23 hata baada ya Twitter kuzifupisha.

google+

linkedin