5/15/16

Happy Birthday Dayna Nyange


Jumapili ya Leo Mei 15 ya 2016, Mtandao Huu, Unaungana na mkali wa muziki wa bongo fleva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Dayna Nyange anayetamba na wimbo wake wa sasa wa Angejua leo hii ametimiza umri wa miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake.Mtandao Huu unakutakia maisha marefu yenye kheri na baraka tele mrembo wetu wa nguvu.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts