5/27/16

Harmonize kuja na ngoma aliyomshirikisha Korede Bello

Hivi karibuni Harmonize ameingia kwenye kiki kubwa baada ya kuanzisha couple mpya mjini akiwa na staa wa filamu Jacqueline Wolper.

Harmonize

Kwa mujibu wa bosi wa WCB, Diamond wimbo wa Harmonize unaofuta, ameshirikisha staa kutoka Mavin Records, Korede Bello wa Nigeria.

d1

Diamond ameandika:

Natamani Mngepata walau sekunde 3 tu kuskiliza Ngoma Mpya ya @Harmonize_tz alomshirikisha Mr Romantic, wenyewe wanamwita GODWIN @koredebello tokea the Marvins Nigeria…. Moja ya ngoma zinazotawala kwenye Repeat ya playlist yangu kwa sasa…. #BongoflavourTotheWorld.”

Korede Bello amehit sana kwa ngoma yake Romantic aliyomshirikisha Tiwa Savage.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts