5/9/16

Hawa ni wasanii 4 wakubwa Afrika ambao Navy Kenzo imefanya nao ‘Collabo’.


Kundi la muziki wa Bongo Flava nchini, NavyKenzo, wametoa orodha ya wasanii 4 wakubwa barani Afrika ambao tayari wamefanya nao Kolabo.
Akizungumza kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm, mmoja kati ya memba wa kundi hilo ambaye pia ni Producer Nahreal amesema kwa sasa anataka iwe ‘Surprise’ kwa mashabiki wao kuhusu kolabo ipi hasa ianze kutoka.
“Ah ipi inaanza kutoka tunaweka kwenye mabano kidogo, lakini all most zote zimekwisha tuna album na tuna vingi vingine vinakuja” Alisema.
Aliwataja wasanii hao kuwa ni pamoja na Pantoranking wa Nigeria, R2bees, jack Jagz na Ali kiba.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm