5/4/16

Hii ndio list ya wasanii wa Hip hop wenye pesa nyingi Duniani, Drake amemng’oa 50 Cents kwenye orodha.

Rapper kutoka Canada aliye chini ya lebo ya Young Money, Drake, ameingia kwenye list ya wasanii ya wasanii wa Hip Hop wenye mkwanja wa kutosha Duniani mwaka 2016 huku akimtoa rapper 50 Cents kwenye namba 4 katika orodha hiyo akiwa na mkwanja wa dola milioni 150.
List hiyo kama kawaida namba moja imeendelea kung’ang’aniwa na Didddy ambaye hivi karibuni ametangaza kuachana na shughuli za muziki.
1. Diddy – $750 million
2. Dr. Dre – $710 million
3. Jay Z – $610 million
4. Birdman – $110 million
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm