5/24/16

Hii ni Kuhusu Kusitishwa Tangazo la Ajira Wizara ya Afya Lililotolewa 23/05/2016Tokeo la picha la SERIKALI YA TANZANIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA UMMA
 
KUSITISHWA KWA TANGAZO LA AJIRA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto inapendakuwafahamisha kwamba tangazo la Ajira ya dharura kwa wataalam wa fani mbili za afya za Tabibu Wasaidizi(Clinical Assistant) na Wauguzi (Enrolled Nurses) zilizotangazwa tarehe 23/5/2016 limesitishwa hadi hapo maelezo mengine yatakapotolewa
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Afya
23/5/2016

Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm