5/5/16

Hutanisikia mimi mwenyewe bila Yamoto Band – Maromboso


Muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Mbwana Yusuf Kilangi ‘Maromboso’, ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo wa Temba, Fundi amesema anafurahi kufanya kazi na watu aliokuwa anawaangalia.“Kwakweli kwangu ilikuwa ni furaha kufanya kazi na kaka zangu Chege na Temba ambao wakati nakuwa nilikuwa nikiwaangalia na nimejifunza vitu vingi kupitia kwao katika sanaa,”amesema.

“Unajua pia management yetu ni nzuri nasi pia tunajitahidi kufanya kazi nzuri na pia mashabiki wategemee vitu vizuri kutoka kwetu Yamoto Band hamna siku ambayo utaniskia eti Maromboso mimi kama mimi, hapana ni mimi na Yamoto Band,” ameongeza.
-Bongo 5
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts