5/17/16

Huu ndio mchanganuo wa Trilioni 4 ulioombwa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano


Bunge la 11 limeendelea Dodoma, na leo May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo.  Kazi imefanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa ambaye ameanza na kuzitoa changamoto za Wizara…
Mwisho Waziri Mbarawa akasimama kuomba fedha…>>>Katika mwaka 2016/2017, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 4,895,279,317,500.00’. Kati ya fedha hizo, Shilingi 2,212,141,496,500.00 ni kwaajili ya Sekta ya ujenzi
Shilingi 2,587,333,762,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Uchukuzi na Shilingi 95,804,059,000.00 ni kwa ajili ya Sekta ya Mawasiliano
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts