5/8/16

HUYU NDO TRAFIKI ANAYEONGOZA KWA VITUKO KWA STYLE YAKE YA KUONGOZA MAGARI DSM

13166067_1076621835709731_2600871821467165384_n13139053_1076621772376404_8648408436781765091_n 13177391_1076621789043069_8460472751958404068_n HUYU ASKARI ANAITWA CONSTABLE ASHRAF …AMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA JINSI ANAVYO KUWA ANAONGOZA MAGARI KWA KUTUKIA INSHARA MBALIMBALI AMBAZO NDO HUWAVUTIA WATU WENGI WANAO PITA NJIA HIYO…YEYE HUPATIKANA BARABARA YA HASSAN MWINYI MAENEO YA KIJITONYAMA SAYANSI.

PICHA: The Choice tz
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm