5/14/16

Ingia kuona Picha,Mashabiki wa Drake wakasirishwa na kitendo hichi cha rapa huyu kubadilisha muonekano wake.


Mashabiki wa Drake wamekasirishwa na kitendo hichi cha rapa huyu kubadilisha muonekano wake Ghafla baad aya kunyoa ndevu zake.
Kuelekea kwenye show yake ya SNL ‘Sartarday Nite Live’ Drake amenyoa ndevu zake na kuweka picha hio kwenye instagram.
drake-shaves-beard
 drake 12
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm