5/18/16

Instagram: Aliyoyaandika Vannesa Mdee baada ya post mbili za Shilole kwenye mtandao wa Instagram


Headline zinachukuliwa na Warembo kudoka Kiwanda cha Bongoflevani na hii ni baada ya May 17 2016 Shilole kupost picha kwenye Account yake Instagram ambayo wengi wametafsiri ni dongo kwa msanii mwenzake Vanessa Mdee, May 18 2016 Vanessa Mdee amezichukua headline kwa Kupost picha ya Shilole na kuandika caption inayosomeka hivi.
Nikupe KICKII ujulikane au sio? Kila siku twanyamazaga ndiyo mtugaragaze. Sit the f**k down. Mimi sio uliowazoea. P.s: You ain’t worth this post inashushwa sasa hivi #MessageSent‘>>>Vanessa MdeIMG-20160518-WA0015
Post hiyo ya juu ni baada ya hizi post mbili za Shilole kwenye account yake ya instagram
shishi
IMG-20160518-WA0016
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm