5/1/16

Kichaa cha mbwa kuibuka Tarime

 
Hofu ya kuugua kichaa cha mbwa imeibuka kwenye baadhi ya kata za Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara baada ya kaya nyingi kufuga mbwa na kushindwa kuwapatia chanjo.
Kutokana na hali hiyo, baadhi ya watendaji na madiwani wa kata za halmashauri ya wilaya hiyo wametakiwa kuwahamasisha wote wanaofuga mbwa wawapeleke kwenye chanjo
Kata ya Kiore ina mbwa 6,777, Kemambo 4,132 na Nyarukoba 819.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kiore, Emanuel Mbilinyi alisema kaya nyingi zinafuga mbwa zaidi ya watatu.

Chanzo: Mwananchi
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm