Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

5/8/16

Korea Kusini Yasitisha Kutumia Silaha za Kinyuklia.
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema nchi yake haitatumia silaha zake za kinyuklia hadi pale ardhi yake itakapovamiwa kwa silaha za kinyuklia.

Akizungumza katika mkutano mkuu wa chama tawala cha Korea Kaskazini cha Workers Party, Kim amesema yuko tayari pia kuboresha uhusiano na nchi alizoziita hasimu na kutaka kuwepo mazungumzo zaidi na nchi jirani ya Korea Kusini ili kupunguza tofauti na kutoaminiana kati yao.

Kim amesema nchi yake itaheshimu wajibu wake wa kutumia ipasavyo silaha za kinyuklia kuambatana na sheria za kimataifa kuhusu udhibiti wa silaha hizo hatari ila akaionya Marekani kuepuka kujihusisha katika masuala ya Korea.

Korea Kaskazini imekuwa akiwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa kutokana na kufanya majaribio kadhaa ya silaha za kinyuklia.