5/11/16

Kundi la Mafikizolo latua nchini kutumbuiza kwenye uzinduzi wa mtandao wa 4G Vodacom Tanzania002.MAFIKIZOLO
Mwanamuziki wa kundi la Mafikizolo,NhlanhalaNciza (kulia) akitete jambo na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu mara baada ya kuwasilia kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kutumbuiza katika Hafla ya Uzinduzi wa huduma ya Mtandao wa kasi wa 4G wa Vodacom Tanzania kesho jioni katika ukumbi wa Mlimani City ,Pamoja na Tamasha la Vodacom Kichuo Zaidi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha UDOM Mkoa wa Dodoma Mei 12 mwaka huu. Kushoto ni Theo Kgosinkwe wakundi hilo na Meneja wa mwanamuziki Nasibu Abdul”.Diamond Platnumz “ Sallam Sharaff

002.MAFIKIZOLO
003.MAFIKIZOLO
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts