MAISHA: Uzuri wa Mke ni Tabia. Je, Uzuri wa Mume ni Nini? | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

5/18/16

MAISHA: Uzuri wa Mke ni Tabia. Je, Uzuri wa Mume ni Nini?


Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.

Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.

Nawasilisha

Kwa dondoo Kali za Mapenzi BOFYA HAPA

google+

linkedin