5/7/16

Makonda Amtembelea Diamond Ofisini Kwake...Diamond Afunguka HayaFrom @diamondplatnumz - Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku.... ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa kazi zetu.... Hakika wewe ni kiongozi wa pekee....Tunashkuru kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza kwetu Jana!... ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm