5/18/16

Matonya kwangu ni zaidi ya mpenzi – Gigy Money


Kuna fununu zimezagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke.
Giggy Money na Matonya3
Wawili hao wamekuwa wakionekana mara kwa mara wakiwa pamoja.
“Yeah ni kweli mimi Matonya kama unayoona kwangu mimi ni zaidi ya mpenzi, hayo mambo ya yeye na mkewe mimi hayanihusu, muulize mwenyewe,” Gigy ameiambia Bongo5.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts