5/4/16

Mauaji Albino Yahamia Malawi

 
Serikali ya imehimizwa kushirikiana na Malawi kukomesha vitendo vya katili ikiwamo mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambayo vimeripotiwa kukithiri nchini moja.
Akizungumza leo mwasisi wa Shirika la Under the same sun (UTSS), Peter Ash amesema kuna ushirikiano wa biashara mbaya ya viungo vya binadamu ambayo inachochea matukio ya ukatili dhidi ya Watu wenye albnism katika nchi hizo.
"Wakati Tanzania hali inaonyesha matukio hayo kuanza kupungua, Malawi yameripotiwa matukio 65 yanayohusu ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu huo kuanzia Desemba mwaka jana hadi Aprili mwaka huu. Kati ya hayo kuna mauaji ya watu 13 wa jamii hiyo.
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts