Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

5/9/16

Meya wa Rwanda kupandishwa kizimbani Ufaransa


Meya wawili wa zamani wa Rwanda watapandishwa kizimbani Jumanne kujibu mashitaka yanayohusu uhalifu dhidi ya ubinaadamu yakiwamo mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 ya taifa hilo la Afrika ya Kati.
Mafuvu ya watu waliouwa wakati wa vita vya mauaji ya Kimbari
Octavien Ngenzi mwenye umri wa miaka 58 na Tito Barahira mwenye umri wa miaka 64 watajibu mashitaka ya kuwaua mamia ya wakimbizi wa Kitutsi katika kanisa la mji wa mashariki wa Kabarondo Aprili 13, 1994.
Hii ikiwa ni kesi ya pili kufanyika Jijini Paris, katika mahakama maalumu iliyofunguliwa kuwashitaki Wanyaruwanda wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji hayo ya kimbari waliokimbilia nchini Ufaransa, inategemwa kuweka wazi mahusiano yenye mashaka baina ya nchi hizo mbili.
Rwanda bado inaendelea kuituhumu Ufaransa kushiriki katika mauaji hayo kwa kuipatia msaada serikali ya wakati huo ya Kihutu.