Contact us: yuvinusm45@gmail.com | email: yuvinusm45@gmail.com

We're Coming Soon

Tutarudi Baada ya Matengenezo

Tupo kwenye matengenezo ya Mtandao Wetu Tutarudi Mchakato Ukishakamilika, Tunaomba Radhi kwa Usumbufu Utakaojitokeza!

We are working very hard on the new version of our site. It will bring a lot of new features. Stay tuned!


days

hours

minutes

seconds

Subscribe to our newsletter

Sign up now to our newsletter and you'll be one of the first to know when the site is ready:

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger
Design by Yuvinusm

5/10/16

Mfumuko wa Bei Wazidi Kupanda

Ephraimu Kwesigabo, Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu.

OFISI ya Taifa ya Takwimu, (NBS) imetoa takwimu ya mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini iliiyopanda kutoka asilimia 5.1 mwezi Machi hadi 5.4 Aprili.


Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo, Ephraim Kwesigabo, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Kijamii, amesema kuwa mfumuko wa bei huo unaotokana na fahirisi za bei za bidhaa na huduma mbalimbali zinazotumiwa na kaya binafsi nchini.

Amesema kuwa mfumoko wa bei wa mwezi Aprili Mwaka huu umebaki kuwa asilimia 0.5 kama ilivyokuwa mwezi Machi Mwaka huu.

Hata hivyo fahirisi za bei zimeongezeka hadi kufikia 102.46 kwa mwezi Aprili kutoka 101.93 mwezi Machi mwaka huu.

Amesema kuwa ongezeko hilo limechangiwa kwa kuongezeka kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na zisizoza vyakula

Akitaja bidhaa hizo ni pamoja na unga wa muhogo kwa asilimia 11dagaa asilimia 6.6 choroko asilimia 11, Maziwa ya Unga Asilimia 3.4 matunda Aia ya chungwa asilimia 2.9

Kwa upande wa bidhaa zisizo za vyakula ni pamoja na mvinyo 3.5 bia asilimia 2.8 , kumi asilimia 3 mazulia 5.3.

Ameeleza kuwa Kenya mfumuko wa bei umeshuka kwa asilimia 6.45 kwa Mwezi Machi kufika asilimia 5.27 kwa Aprili. Kwa upande wa Uganda pia Mfumuko umeshuka kutoka asilimia 6.2 kwa mwezi Machi hadi kufikia asilimia 5.1 kwa mwezi Aprili.