5/18/16

Miaka miwili baada ya kutekwa wasichana 276 na Boko Haram, mmoja apatikana akiwa mjamzito


Kama unazikumbuka story za kundi la Kigaidi la Boko Haram kuteka wasichana 276 Nchini Nigeria, sasa leo taarifa zilizopatikana ni kwamba binti mmoja amepatikana baada ya miaka miwili.
Binti huyo kwa jina la  Amina Ali amepatikana akiwa na ujauzito kwenye msitu wa Sambisa huko kaskazini mwa  Nigeria ambapo ndipo walikuwa wamefichwa wasichana hao.
Wasichana hao ambao huitwa ‘chibok girls‘ ambao ni wanafunzi wa shule ya bweni walitekwa na magaidi hao wakiwa shuleni.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm