5/1/16

Mjue Mke wa Waziri Anayedaiwa Kumtukana Askari wa Usalama Barabarani Ambaye Anatakiwa Kupandishwa CheoMke wa waziri anayesemwa kuzozana na Askari wa Usalama Barabarani amegundulika kuwa ni mke wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga

Nimekuwekea link hapo chini uweze kusikiliza audio ya kilichoendelea kati ya Mke wa Waziri na Askari wa usalama barabarani na boss wa Askari huyo!Unaweza kusikiliza na kupata picha ya mazungumzo kati ya huyo Mama na Traffic

https://soundcloud.com/swahili-times/700697d7ad8d1cfe7ca17c2dc88e3c0c
Share:

Habari Mpya

Follow us Facebook

Popular Posts