5/9/16

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Akabidhi Hati 92 za KimilaMkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa usumbufu hasa wa mipaka ambao ulikua unatokea mara kwa mara

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Kiomoni Kibamba akizungumza katika hafla hiyo. Kibamba alisema “Kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo; Oxfam na SHIDEPHA+ tumefanikiwa kutekeleza mradi wa kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi ndani ya vijiji vinne ambavyo ni Shabuluba, Nyida, Mwenge na Puni. Mradi ulioanza mwezi wa Februari 2016 na sasa upo katika hatua za mwisho za utekelezaji.”

Wakazi wa kijiji cha Nyida wakiangalia hati zao walizopokea. 
Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida akionyesha hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa usumbufu hasa wa mipaka ambao ulikua unatokea mara kwa mara"

Wakazi wa kijiji cha Nyida wakihudhuria hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm