Muandaaji na Mtayarishaji Mzuri wa Muziki Nje ya Tanzania | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

5/8/16

Muandaaji na Mtayarishaji Mzuri wa Muziki Nje ya Tanzania


Mmoja wa waasisi wa muziki wa kufoka foka nchini Chief Rhymson kutoka kundi la Kwanza Unit ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Zavara ameendelea kufanya kazi zake za kimuziki katika eneo la uandaaji, uongozaji na kutengeneza video na hii moja ya kazi ya mikono yake inayozunguka duniani.

google+

linkedin