Nafasi za kazi Umoja wa Mataifa | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

5/8/16

Nafasi za kazi Umoja wa Mataifa

 
Umoja wa Mataifa umetangaza nafasi tisa (9) za kazi kutoka DPKO na UNMISS Kwa maafisa wa Jeshi la Polisi ( SECONDMENT POST COMPAIGN) PHASE 1-2016.  Nafasi hizo ni za ushindani ikiwa ni pamoja na maafisa wengine wa nchi wanachama wa umoja wa mataifa (UN) kote duniani , hivyo Maafisa wenye sifa na vigezo wanatakiwa kujaza fomu za  Employment and Academic Certification na Personal History form:-

 Bofya zifuatazo  kupata fomu ya
  (a) Employment and Academic Certification form
  (b)   Person History Form P - 11
 1.  Police Officer P-3 New York DPKO
 2. Police selection Recruitment officer, P- 4
 3. Police Liason Officer, P-4.
 4. Police officer, P-4
 5. Training Adviser, P-4
 6. Senior Police Liason Officer P-5
 7. Police Selection Recruitment Officer P- 3 , New York DPKO
 8. Joint Intergrated Police Coordinator p- 3 UNMISS
 9. Police Reform and Restructuring Coordinator P- 4 UNISFA

google+

linkedin