PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM | Yuvinusm

The Global News and Education

Breaking News
Loading...

5/30/16

PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM


Naibu Spika ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa.
AW1A0974
Baadhi ya wabunge wakionekana kujadili jambo
AW1A0973
AW1A0917
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyosimama kuainzisha hoja hiyo
AW1A0956
Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari akifafanua zaidi
AW1A0959
Baadhi ya wabunge wakitoka nje
AW1A0960
AW1A0987
AW1A0986
AW1A0984

google+

linkedin