5/15/16

Picha:Angalia mabingwa wa kufuga ndevu zenye staili tofauti tofauti duniani

Mtandao wa Global contest umetoa orodha ya mabingwa wa kufuga mustachi ulimwenguni. Shindano hilo ambalo lilifanyika wikiendi iliyopita huko Leogang nchini Australia, lilikuwa maalum kwa ajili ya kuchagua mfuga mustachi mahiri ambao ni wa asili, wenye mvuto na wa kipekee katika ulimwengu huu.
Washindani 323 kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni walijtokeza kuonyesha umahiri wao mbele ya majaji na kushindania nafasi 18 ambazo ndizo zilikuwa zikipiganiwa katika makundi matatu ambayo ni ya wenye mustachi, ndevu za kawaida na ndevu zilizojaa sehemu zote za uso.

Angalia picha za wamahiri wa kufuga ndevu hapo chini;


Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm