5/13/16

Rais wa Brazil Asimamishwa Kazi

Rais wa Brazil Dilma Roussef amesimamishwa kazi baada ya kutuhumiwa kuhusika na ufisadi uliopelekea wizi wa fedha Euro milioni 800 na kumuachia nafasi Makamu wake Michel Temer kuongoza Brasil.
Taarifa kutoka nchini humo zinasema kura 55 kati ya 22 zilizopigwa na Maseneta zimepelekea Roussef kusimamishwa kazi kwa kipindi cha siku 180 za kusikilizwa kesi yake.
Ifahamike ya kwamba Raisi huyo anatuhumiwa kwa kutumia mali za uma katika kampeni zilizompelekea kushinda kiurahisi katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2014.
Weka Maoni Yako Hapa
Share:

Advertisment

Habari Mpya

Follow us on Facebook

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © Yuvinusm | Powered by Blogger Design by Yuvinusm